read
news & Articles

VIDEO: Ahmed ataja siku ya ‘kushusha vifaa vipya’
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema mwishoni mwa mwezi huu tutaanza kutambulisha wachezaji wapya tuliowasajili kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano

Mo akutana na Fadlu Dubai kupanga mikakati ya timu
Rais wa Klabu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohamed Dewji ‘Mo’ amekutana na kocha Fadlu Davids kwa ajili ya kujadiliana kuhusu msimu ulivyokuwa na

Queens yawaacha nyota 11
Katika kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026 timu yetu ya Simba Queens imewaacha wachezaji 11. Mabadiliko hayo yanatokana na malengo

Kwaheri Augustine Okejepha
Baada ya makubaliano ya pande mbili kiungo mkabaji raia wa Nigeria, Augustine Okejepha hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi 2025/2026. Okejepha

Kwaheri Valentin Nouma
Baada ya makubaliano ya pande mbili tumevunja mkataba na mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso. Nouma tumemsajili kutoka St. Eloi Lupopo ya

Asante Aishi Manula
Mlinda mlango, Aishi Manula hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu wa Ligi 2025/2026 baada ya kumaliza mkataba wake. Manula alijiunga nasi mwaka 2017 akitokea