read

news & Articles

Timu yarejea kutoka Dodoma

Kikosi chetu kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma baada ya jana kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo

VIDEO: Mechi dhidi ya Dodoma ilikuwa ngumu

Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo dhidi ya Dodoma Jiji ulikuwa mgumu lakini amewapongeza wachezaji kwa kujituma muda wote. Kocha Fadlu amesema tulikuwa na uwezo

Tumechukua alama zote Jamhuri

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji uliopigwa katika Uwanja wa Jamhuri umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja. Mchezo

Tupo Tayari kuikabili Dodoma Jiji

Leo saa 12:30 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri kuikabili Dodoma Jiji katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia kwenye mchezo wa

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC