read
news & Articles

Simba Queens ipo tayari kwa Dabi Kesho
Kocha Mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema kikosi chake kipo kamili kwa ajili ya mchezo wa Dabi dhidi ya Yanga Princess utakaopigwa kesho saa

Tumechukua alama tatu za Dodoma kibabe
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika Uwanja wa KMC Complex.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Dodoma Jiji
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Dodoma Jiji katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mlinzi wa kulia

Sita waitwa Taifa Stars kufuzu Kombe la Dunia
Nyota wetu sita wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kujiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026

Tupo tayari kuikabili Dodoma Jiji Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Dodoma Jiji katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huu ni

Kauli ya Kocha Matola kuelekea mchezo dhidi ya Dodoma
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji utakuwa mgumu lakini tumejiandaa kuhakikisha tunafanya vizuri na
