read
news & Articles

Mchezo dhidi ya Pamba kupigwa Novemba 22
Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imetoa tarehe rasmi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Pamba Jiji ambao utapigwa Novemba 22. Mchezo ambao

VIDEO: Tulikuwa na uwezo kushinda mabao mengi zaidi
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema kipindi cha kwanza tulitengeneza nafasi nyingi za kufunga ambazo zingetufanya kupata mabao mengi zaidi. Kocha Fadlu amewamwangia sifa wachezaji kwa

Tumekaa Kileleni mwa Msimamo wa NBCPL
Ushindi wa mabao 4-0 tuliopata dhidi ya KMC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la KMC Complex umetufanya kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya KMC
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili KMC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids amefanya

Watano waitwa Taifa Stars kufuzu AFCON
Nyota wetu watano ni miongoni mwa wachezaji 26 walioitwa na Kocha Hemed Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu fainali za Afrika (AFCON) dhidi ya

Leo tupo KMC Complex kuikabili KMC FC
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja KMC Complex kuikabili KMC FC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia katika mchezo wa
