read
news & Articles

VIDEO: Fadlu asema tulistahili kushinda dhidi ya Bravos
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema amefurahi kwa kufuzu Robo Fainali Shirikisho Afrika tukiwa na mchezo mkononi lakini ameweka wazi tulistahili kupata ushindi mnono dhidi ya

Tumetinga Robo Fainali Shirikisho Afrika
Sare ya kufungana bao tuliyopata ugenini dhidi ya Bravos Do Marquis katika mchezo wa tano wa hatua ya makundi umetufanya kufuzu moja kwa moja hatua

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Bravos Do Marquis
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Novemba 11 nchini Angola kuikabili Bravos Do Marquis katika mchezo wa tano wa hatua ya

Tupo tayari kuikabili Bravos Novemba 11 Leo
Saa moja usiku wa leo kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Novemba 11 nchini Angola kuikabili Bravos Do Marquis katika mchezo wa tano wa kundi

Timu yafanya mazoezi Novemba 11
Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Novemba 11 tayari kwa mchezo watano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos

Kauli ya Kocha Fadlu Davids kuelekea mchezo dhidi ya Bravos
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo watano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya