read
news & Articles

Timu yawasili jijini Mwanza
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Pamba Jiji utakaopigwa keshokutwa Ijumaa. Kikosi kimeondoka na

Queens yaichakaza Gets Program KMC Complex
Simba Queens imeibuka na ushindi mnono wa mabao 6-2 dhidi ya Gets Program katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) uliopigwa katika Uwanja

Hamasa kuelekea mchezo dhidi ya Bravo kuzinduliwa Jumapili
Zoezi la hamasa kuelekea mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya Bravo Do Marquis kutoka Angola litazinduliwa Jumapili Novemba, 24 katika

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Gets Program
Kikosi chetu cha Simba Queens leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Gets Program katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake

Hivi hapa Viingilio vya mchezo dhidi ya Bravo
Tiketi za mchezo wetu wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravo FC kutoka Angola utakaopigwa Novemba 27 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Tumezindua jezi mpya kwa ajili ya Kombe la Shirikisho Afrika
Leo tumezindua rasmi jezi mpya ambazo tutazitumia kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambayo tutaanza kuzitumia kuanzia Novemba 27. Hafla ya Uzinduzi wa jezi
