read
news & Articles

Ni mechi ya kisasi leo Kirumba
Leo jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba hapa jijini Mwanza kikiwa na kisasi cha kulipiza kwa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi

Kauli ya Matola kuelekea mchezo na Ruvu Shooting
Kocha Msaidizi Seleman Matola, amesema mechi ya kesho dhidi ya Ruvu Shooting itakuwa ngumu lakini tumejiandaa kushinda na kuondoka na alama zote tatu. Matola amesema

Simba yapiga tizi Nyamagana kuiwinda Ruvu Shooting
Kikosi chetu kimefanya mazoezi leo jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba keshokutwa Alhamisi. Kikosi kiliwasili hapa jijini Mwanza

Simba yatua Mwanza kuivaa Ruvu Shooting
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Mwanza leo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba Alhamisi Juni

Simba yarejea Dar wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam leo asubuhi kikitokea Mtwara ambapo wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja. Baada ya mchezo dhidi ya Namungo

Simba yapiga tizi Nangwanda kujiandaa na Ruvu Shooting
Kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona hapa Mtwara ili kuweka miili sawa baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu