Kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona hapa Mtwara ili kuweka miili sawa baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC.
Timu iliwasili Mtwara jana usiku baada ya kutoka Lindi ilipokuwa na mchezo dhidi ya Namungo tulioibuka na ushindi wa mabao 3-1.
Mazoezi ya leo pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu ujao dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba Juni 3, mwaka huu.
5 Responses
God bless my team
Good Analysis of the Football game
habari ndugu admin,
mimi ni mshabiki wa Simba sc na katika kuboresha page yetu naona kuna vitu vidogo vinahitaji kuboreshwa mfano picha za wachezaji mpaka sasa hazijawekwa kwenye profile zao hii si sawa maana hata washabiki tu picha wanazo why wewe Admin,
please fanyia kazi hilo ni aibu kwetu.
Ibrahim Muhsini Mvumbo.
Simba nguvu moja1
Simba NGUVU MOJA