read
news & Articles

Simba yarejea Dar wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam leo asubuhi kikitokea Mtwara ambapo wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja. Baada ya mchezo dhidi ya Namungo

Simba yapiga tizi Nangwanda kujiandaa na Ruvu Shooting
Kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona hapa Mtwara ili kuweka miili sawa baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu

Bocco, Morrison, Lwanga wachuana mchezaji Bora Mei
Nyota watatu wakiwamo Nahodha John Bocco, Bernard Morrison na Taddeo Lwanga wameingia fainali ya kumtafuta mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Mei (Emirate Aluminium Profile

Gomes, Chama wakabidhiwa tuzo zao za VPL
Kocha Didier Gomes amekabidhiwa tuzo yake ya Kocha Bora wa Aprili ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania na kiungo Clatous Chama aliyekuwa mchezaji bora wa

Simba yapiga bonge la ‘Come Back’ yavunja mwiko Majaliwa Stadium
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa ‘Come Back’ wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC na kuvunja mwiko wa kushindwa kupata ushindi kwenye Uwanja wa

Kagere, Mugalu kuongoza mashambulizi dhidi ya Namungo
Kocha Didier Gomes amewaanzisha washambuliaji wawili Medie Kagere na Chris Mugalu katika mchezo dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa Majaliwa leo saa 10 jioni. Mara
