read
news & Articles

Mugalu arejea Simba ikijiwinda na mtani
Mshambuliaji wetu Chris Mugalu amefanya mazoezi pamoja na wenzake leo jioni baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yanamsumbua. Mugalu alikosa baadhi ya mechi zilizopita za hivi

Simba kambini kuivutia kasi Yanga
Kikosi chetu leo kinaingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga. Mechi hiyo itakayochezwa

Morrison, Miquissone, Bocco mchuano mkali Tuzo ya Mchezaji Bora
Nyota watatu Bernard Morrison, Luis Miquissone na John Bocco wameingia fainali ya kumsaka Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player

Gomes awamwagia sifa wachezaji baada ya ushindi dhidi ya Azam
Baada ya kufanikiwa kutinga Fainali ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup kwa kuifunga Azam FC bao moja, Kocha Mkuu Didier Gomes amesema anakiamini kikosi

Miquissone aipeleka Simba Fainali ASFC kibabe
Kikosi chetu kimeingia Fainali ya mlMichuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Azam FC katika

Taddeo, Aishi warejea kikosini Bocco kuongoza mashambulizi
Mlinda mlango namba moja, Aishi Manula na kiungo Taddeo Lwanga wamerejea kikosini na wanaanza kwenye mchezo wetu wa leo wa Nusu Fainali ya Azam Sports
