read
news & Articles

Gomes afanya Mabadiliko kikosi cha kuikabili Coastal
Kocha Didier Gomes amefanya mabadiliko ya wachezaji watano kwenye kikosi cha kwanza ambacho kitashuka dimbani kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Uwanja

Pointi moja tu tuchukue ubingwa wa VPL leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu ambao tukipata hata sare tutatangazwa

Matola: Hatutaichukulia poa Coastal
Kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu, Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema hatutaidharau Coastal Union kutokana na kutokuwa kwenye nafasi katika msimamo. Matola amesema tunahitaji

Simba yaanza maandalizi kuivaa Coastal
Baada ya mapumziko ya siku moja kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi kwenye Viwanja vya Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu

Simba kupumzisha baadhi ya nyota, kuwapa nafasi wengine
Baada ya kujihakikishia kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mara ya nne mfululizo Kocha Mkuu, Didier Gomes amesema atawapumzisha baadhi ya wachezaji waliotumika

Simba yaunyemelea ubingwa 2020/21 kwa asilimia 99
Ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi ya KMC leo, umetufanya tuzidi kuukaribia ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Msimu wa 2020/21 kwa asilimia
