read
news & Articles
Gomez: Bado hatujamaliza kazi Klabu Bingwa Afrika
March 17, 2021
Kocha Mkuu, Didier Gomez amesema bado hatujamaliza kazi ya kufuzu michuano hiyo.
Bado moja tutinge Robo Fainali Afrika
March 16, 2021
Ushindi wa mabao 3-0 tuliopata leo dhidi ya El Merrikh umetufanya kubakisha alama moja ili kuingia hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika.
Morrison ndani dhidi ya El Merrikh Leo
March 16, 2021
Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison leo ameanza kwenye kikosi cha kwanza
Kocha Gomez afunguka mbinu za kuimaliza El Merrikh
March 15, 2021
Gomez amesema anategemea kufanya mabadiliko kidogo ya kikosi
Gomez: Tulistahili kushinda lakini huu ndio mpira
March 11, 2021
Kocha Mkuu, Didier Gomez amesema kwenye mchezo wa jana dhidi ya Tanzania Prisons tulistahili kupata ushindi lakini mpira una matokeo matatu na ameyakubali. Gomez amesema
Miquissone achomoa dakika ya mwisho
March 10, 2021
Bao la dakika ya mwisho lililofungwa na Luis Miquissone limetupa sare dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo mkali uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Machi