read
news & Articles

Simba yajipima na Cambiaso
Kikosi chetu leo kimecheza mechi ya kirafiki ya kimazoezi na kituo cha Cambiaso Sports na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 mchezo uliopigwa Uwanja

Nyota wetu saba wawakilisha mataifa yao kufuzu Kombe la Dunia
Wachezaji wetu saba wameanza kikosi cha kwanza kwenye timu zao za taifa zilizokuwa zikitafuta tiketi ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia ambalo litafanyika nchini

Kapombe: Naendelea vizuri namshukuru Mungu
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe amesema hali yake kwa sasa inaendelea vizuri na kesho ataenda hospitali kwa uchunguzi zaidi. Kapombe alipata maumivu ya mguu katika

Meneja afunguka kuhusu Inonga na Timu ya Taifa ya Congo
Meneja Patrick Rweyemamu ameweka wazi kuwa klabu ilitumiwa taarifa kuhusu kuitwa kwenye kikosi cha awali cha Timu ya Taifa ya DR Congo mlinzi Henock Inonga

Kanoute akiri Ligi ya Tanzania ngumu, ataja Viwanja
Kiungo mkabaji Sadio Kanoute, amekiri Ligi Kuu ya Tanzania (TPL) ni ngumu kutokana na timu nyingi kucheza soka lenye matumizi makubwa ya nguvu. Kanoute amezitazama

Kanoute arejea mazoezini, Sakho bado kidogo
Kiungo mkabaji Sadio Kanoute, leo amerejea mazoezini baada ya kupona maumivu ya bega aliyopata katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga Septemba 25,
