read
news & Articles
Simba kupambana dhidi ya Kaizer hadi kieleweke
Kiraka Erasto Nyoni amesema mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa Jumamosi Mei 15, mwaka huu katika Uwanja wa
Simba yafanya mazoezi kujiandaa na Kaizer Chiefs
Kikosi chetu kimefanya mazoezi leo jioni katika Uwanja wa Discovery Soccer Park hapa jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya
Kauli ya Kocha Gomez baada ya Droo ya ASFC
Licha ya kuifunga Dodoma Jiji katika mechi zote mbili za Ligi Kuu msimu huu Kocha Didier Gomez amesema mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la
Simba yapewa Dodoma Jiji Robo Fainali ASFC
Droo ya hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) imetoka wmbapo kikosi chetu kimepangwa kucheza na Dodoma Jiji. Katika mchezo
Simba yaifuata Kaizer Chiefs na nyota 24
Kikosi chetu kimeondoka nchini leo Jumanne Mei 11 alfajiri, kuelekea nchini Afrika Kusini tayari kwa mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi
Gomez: Tulikuwa tayari kuwavaa Yanga
Kocha Mkuu Didier Gomez amesema kikosi chetu kilikuwa kwenye hali nzuri kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya watani wetu Yanga ambao umeahirishwa