Mlinda mlango wetu Aishi Manula ameibuka Kipa Bora wa Ligi Kuu na Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Msimu wa 2020/21.
Hii inakuwa mara ya tano mfululizo kwa Manula kushinda tuzo hiyo.
Manula amekuwa kwenye kiwango bora kuanzia Simba na katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)