read
news & Articles

Simba yatawala Tuzo za Ligi Kuu 2020/2021
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo limetangaza utoaji wa tuzo mbalimbali katika mashindano yote ya msimu wa 2020/21 huku timu yetu ikitawala kwa karibu kila

Wachezaji wapimwa Covid-19 tayari kupaa Botswana
Wachezaji wetu pamoja benchi la ufundi leo wamepimwa Covid-19 tayari kwa maandalizi ya safari ya kuelekea Botswana itakayokuwa Ijumaa jioni. Kupima Covid-19 kabla ya safari

Nyota wetu wa Stars kurejea mazoezini leo
Wachezaji wetu sita waliokuwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania kilichocheza mechi mbili za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Benin

Kauli ya Kocha Gomes kuelekea mechi dhidi ya Jwaneng
Kocha Mkuu Didier Gomes, amesema mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana hautakuwa rahisi hivyo tunapaswa

Simba yajipima na Cambiaso
Kikosi chetu leo kimecheza mechi ya kirafiki ya kimazoezi na kituo cha Cambiaso Sports na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 mchezo uliopigwa Uwanja

Nyota wetu saba wawakilisha mataifa yao kufuzu Kombe la Dunia
Wachezaji wetu saba wameanza kikosi cha kwanza kwenye timu zao za taifa zilizokuwa zikitafuta tiketi ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia ambalo litafanyika nchini
