read
news & Articles
Simba kuwakosa wawili mechi na Yanga kesho
Katika mchezo wetu wa watani wa jadi wa kesho tutakosa huduma ya nyota wetu wawili Ibrahim Ajibu ambaye anasumbuliwa na Malaria pamoja na Jonas Mkude
Gomes: Nimetazama mechi nane za Mtani, najua jinsi ya kuwakabili
Kocha Mkuu Didier Gomes, amesema ameangalia kwa makini mechi nane za watani wetu Yanga ambao tutakutana Jumamosi hii hivyo anajua jinsi ya kuwakabili. Gomes amesema
Morrison mchezaji bora Simba
Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison, amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). Morrison raia wa Ghana amewashinda
Tupo tayari kwa ‘battle’ Jumamosi
Kikosi chetu kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi Yanga utakaofanyika Jumamosi Julai 3, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11 jioni.
Mugalu arejea Simba ikijiwinda na mtani
Mshambuliaji wetu Chris Mugalu amefanya mazoezi pamoja na wenzake leo jioni baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yanamsumbua. Mugalu alikosa baadhi ya mechi zilizopita za hivi
Simba kambini kuivutia kasi Yanga
Kikosi chetu leo kinaingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga. Mechi hiyo itakayochezwa