read
news & Articles
Bocco awataja Kagere, Mugalu ufungaji bora VPL
Baada ya kufanikiwa kuibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Msimu wa 2020/21 , Nahodha John Bocco amepongeza ushirikiano aliopata kutoka kwa washambuliaji wenzake Medie Kagere
Gomes: Simba bora si Tanzania tu bali Afrika Mashariki
Kocha Mkuu, Didier Gomes ameweka wazi kuwa msimu huu tumekuwa bora si Tanzania pekee bali Afrika Mashariki nzima na ndiyo maana tumefanikiwa kutwaa ubingwa wa
Simba yatwaa taji la VPL kwa kutoa dozi ya 4G
Timu yetu imekabidhiwa taji la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kuifunga Namungo FC mabao 4-0 katika mchezo wa mwisho wa msimu uliopigwa
Kagere, Mugalu kuongoza mashambulizi dhidi ya Namungo leo
Nyota Medie Kagere na Chris Mugalu wataongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa mwisho wa ligi kuu msimu huu wa 2020/21 dhidi ya Namungo FC utakaopigwa
‘Wanasimba tukutane kwa Mkapa kusherehekea ubingwa’
Leo tutakabidhiwa taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Msimu wa 2020/21 baada ya mchezo wetu dhidi ya Namungo FC utakaopigwa saa 10 jioni
Simba kushusha kikosi Kamili dhidi ya Namungo Kesho
Kuelekea kukamilisha msimu wa Ligi Kuu 2020/21, benchi la ufundi limeweka wazi kesho tutashusha kikosi kamili katika mchezo dhidi ya Namungo FC ambao tutakabidhiwa taji