read
news & Articles
Hitimana kocha mpya Simba
Klabu ya Simba imeimarisha benchi lake la ufundi kwa kumteua Thierry Hitimana (42), kuwa kocha msaidizi wa klabu. Thierry ni mmoja wa walimu wanaoheshimika nchini
Manula, Zimbwe, Banda, Mzamiru warejea kikosini
Nyota wetu sita waliokuwa kwenye timu za taifa wamerejea kikosini na moja kwa moja wamejiunga na wenzao kambini jijini Arusha. Wachezaji hao ni mlinda mlango
Taddeo arejea mazoezini
Baada ya kupewa mapumziko ya wiki ya tatu kutokana na kuwa majeruhi, Kiungo Taddeo Lwanga leo amerejea mazoezini rasmi pamoja na wenzake. Taddeo kwa sasa
Simba Queens yamaliza ya nne Cecafa Women’s
Kikosi chetu cha timu ya Wanawake ya Simba Queens kimeshika nafasi ya nne baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Lady Doves ya
Fetty Densa kuiongoza Simba Queens kuikabili Lady Doves
Mlinzi wa kushoto, Fatuma Issa ‘Fetty Densa’ leo atakiongoza kikosi cha Simba Queens katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Caf Women’s
Nyota Simba Queens na matumaini kibao kuelekea Nusu Fainali Kesho
Wachezaji wetu wa timu ya Wanawake ya Simba Queens wamejawa na matumaini makubwa ya kushinda na kutinga nusu fainali ya michuano ya Caf Women’s Champions