read
news & Articles
Mazembe mshindi Simba Day
Kikosi chetu kimepoteza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya TP Mazembe katika kilele cha Tamasha la Simba Day lililofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini
Habari Picha: Tazama Uwanja wa Mkapa unavyoonekana kwa juu
Mashabiki wetu wamejitokeza kwa wingi na wameujaza Uwanja mzima wa Benjamin Mkapa wenye uwezo wa kuingiza watu 60,000 walioketi. Hadi saa saba mchana uwanja ulikuwa
Tiketi za Simba Day zimekwisha
Tiketi zote za Tamasha la Simba Day zimekwisha hivyo uwanja wa Benjamin Mkapa leo utapambwa na rangi nyekundu na nyeupe. Tiketi za Sh 200,000 za
Gomes: Mechi na Mazembe kipimo kwetu
Kocha Mkuu Didier Gomes, amesema mchezo wa kesho wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe kwenye kilele cha Simba Day utakuwa mgumu lakini utakuwa kipimo kizuri
Mazembe kutua Kesho
Kikosi cha wachezaji 23 wa TP Mazembe pamoja na benchi la ufundi watatua kesho saa saba mchana tayari kwa mchezo wa kirafiki katika kilele cha
Simba, N Card watatua tatizo la tiketi Simba Day
Viongozi wa Simba na wasimamizi wa mfumo wa tiketi za kielektroniki N Card, wamekubaliana kutoa kadi nyingine tofauti kwa ajili ya watu kuingia uwanjani kwenye