read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi na kuanza safari kuelekea Singida
Kikosi chetu kimefanya mazoezi asubuhi katika Uwanja wa Mo Simba Arena ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi

Tumechukua alama tatu za JKT Kibabe
Bao la dakika ya mwisho lililofungwa kwa mkwaju wa penati na kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua limetuwezesha kutupa ushindi dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya JKT Tanzania
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids

Tupo kibaruani tena kuikabili JKT Tanzania
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika muendeleo wa Ligi Kuu ya NBC. Hapana shaka mchezo

VIDEO: Mazoezi ya Mwisho KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex kwa ajili ya mchezo Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa kesho

Matola: Tunaiheshimu JKT Tanzania
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakuwa mgumu na tutaingia uwanjani kwa kuwaheshimu. Matola
