read
news & Articles

Tumepangwa na Pamba Robo Fainali ASFC
Droo ya hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) imekamilika na tumepangwa na Pamba FC inayoshiriki Championship kutoka jijini Mwanza.

Pablo afurahia pointi moja ugenini
Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi furaha yake ya kupata alama moja katika mchezo wa ugenini wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gendarmerie

Pointi moja ugenini
Kikosi chetu kimefanikiwa kupata alama moja ugenini dhidi ya US Gendarmerie Nationale ya Niger katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi uliopigwa

Kikosi kitakachoikabili USGN
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili katika kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili US Gendarmarie Nationale leo ukilinganisha na kile kilichoichapa ASEC Mimosas Jumapili

Karata ya kwanza ugenini Shirikisho Afrika
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Jenerali Senyi Kountche kuikabili US Gendarmarie Nationale ya Niger katika mchezo wa kwanza ugenini wa hatua ya makundi

Mazoezi ya mwisho tayari kuikabili USGN Kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Jenerali Seyni Kounteche ikiwa ni maandalizi kabla ya kushuka dimbani kuikabili US Gendarmerie Nationale katika mchezo