Kikosi kitakachoikabili USGN

Kocha Mkuu Pablo Franco, amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili katika kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili US Gendarmarie Nationale leo ukilinganisha na kile kilichoichapa ASEC Mimosas Jumapili iliyopita.

Erasto Nyoni ameanza katika kikosi cha leo kama kiungo mkabaji akichukua nafasi ya Jonas Mkude huku Yusufu Mhilu naye akichukua nafasi ya Rally Bwalya.

Medie Kagere ataendelea kuongoza mashambulizi huku akipata msaada wa Karibu kutoka Pape Sakho na Peter Banda.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Erasto Nyoni (18), Yusuph Mhilu (27), Sadio Kanoute (13), Medie Kagere (14), Pape Sakho (17), Peter Banda.

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Pascal Wawa (6), Bernard Morrison (3), John Bocco (22) Jimmyson Mwinuke (21)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER