read
news & Articles
Kanoute akiri Ligi ya Tanzania ngumu, ataja Viwanja
Kiungo mkabaji Sadio Kanoute, amekiri Ligi Kuu ya Tanzania (TPL) ni ngumu kutokana na timu nyingi kucheza soka lenye matumizi makubwa ya nguvu. Kanoute amezitazama
Kanoute arejea mazoezini, Sakho bado kidogo
Kiungo mkabaji Sadio Kanoute, leo amerejea mazoezini baada ya kupona maumivu ya bega aliyopata katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga Septemba 25,
Simba yarejea mazoezini leo
Baada ya mapumziko ya siku mbili kikosi chetu kinarejea mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa hatua ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya
Nyota saba kiimataifa waitwa timu zao za taifa
Nyota wetu saba wa kimataifa wataondoka kesho kwenda kujiunga na timu zao za taifa zinazojiandaa na mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia. Mechi
Kagere arejesha tabasamu kwa mashabiki akiitungua Dodoma
Bao pekee lililofungwa na mshambuliaji Medie Kagere limetosha kutupa alama tatu muhimu dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa Uwanja Jamhuri. Kagere
Mugalu arejea, kuongoza mashambulizi dhidi ya Dodoma leo
Baada ya kutopata nafasi kwenye mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Biashara United mshambuliaji Chris Mugalu ataongoza mashambulizi kwenye mechi ya leo dhidi ya