read
news & Articles
Sebastian Nkoma kocha mpya Simba Queens
Kikosi chetu cha Timu ya Wanawake ya Simba Queens, kitakuwa chini ya kocha mzoefu Sebastian Nkoma ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kukinoa. Nkoma ambaye
Nyota wetu tisa waitwa Stars
Wachezaji tisa katika kikosi chetu wameitwa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa ajili ya mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia ambazo
Simba Queens kurejea mazoezini leo kujiandaa na ligi
Timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens leo itaanza mazoezi rasmi kujiandaa na Ligi Kuu ‘Serengeti Lite Women’s Premier League’ ambayo inatarajia kuanza Novemba 13.
Simba, Coastal hakuna mbabe
Mchezo wetu Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare ya bila kufungana katika mechi ambayo ilikuwa
Bocco, Kibu kuongoza mashambulizi dhidi ya Coastal
Nahodha John Bocco na Kibu Denis wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Uwanja wa Benjamin
Tunazitaka pointi tatu za Coastal leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tumejipanga kubakisha