read

news & Articles

Simba kurejea mazoezini leo

Kikosi chetu leo kitaanza mazoezi kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Novemba 19, Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Wachezaji Simba wapewa mapumziko

Wachezaji wetu wamepewa siku tatu za mapumziko kutokana na kusimama kwa ligi kupisha mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia Wachezaji ambao hawajaitwa katika

Kagere aibeba Simba dakika za jioni

Bao la dakika ya mwisho lililofungwa na mshambuliaji Medie Kagere limetosha kutupa pointi tatu muhimu dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC