read
news & Articles
Pablo: Tumepata mazoezi mazuri kabla ya kucheza na Mtibwa
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema timu imepata mazoezi mazuri kabla ya mchezo wetu wa Jumamosi wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar tofauti
Timu kuondoka mchana kuifuata Mtibwa Moro
Kikosi chetu kitaondoka leo mchana kuelekea mkoani Morogoro tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Jumamosi Uwanja wa
Timu yarejea Dar, wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam leo kutoka mkoani Mbeya huku wachezaji wakipewa mapumziko ya siku moja. Kesho kikosi kitarejea mazoezini kujiandaa na
Tumepoteza mbele ya Mbeya City
Kikosi chetu kimepoteza mechi ya kwanza katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC kwa bao moja dhidi ya Mbeya City uliopigwa katika uwanja wa
Hawa hapa nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Mbeya City
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka kwenye Uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City katika mtanange wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunaamini utakuwa mgumu
Tupo kamili kuwavaa Mbeya City leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City mtanange wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunatarajia utakuwa mgumu lakini