read
news & Articles

Mzamiru asaini mkataba mpya
Klabu yetu imefikia makubaliano ya kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin. Mzamiru ni miongoni mwa mihili mikubwa ya kikosi chetu na

Watano kupaa leo kuungana na wenzao Misri
Nyota wetu watano ambao walibaki jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha taratibu leo mchana watasafiri kuelekea Misri tayari kujiunga na wenzao kwenye maandalizi

Sbai Karim Kocha mpya wa viungo
Klabu yetu imefikia makubaliano na Sbai Karim raia wa Tunisia ambaye atakuwa kocha wetu wa viungo na kocha msaidizi. Sbai atakuwa pamoja na Seleman Matola

Timu yaanza rasmi mazoezi nchini Misri
Kikosi chetu kimeanza mazoezi jioni ya leo nchini Misri tayari kwa maandalizi ya msimu mpya wa ligi 2022/23 chini ya kocha mkuu Zoran Maki. Kikosi

Bao la Sakho laingia 10 bora Afrika
Bao la kiungo mshambuliaji Pape Sakho alilofunga dhidi ya ASEC Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika limechaguliwa kuingia 10

TAARIFA YA UDHAMINI
Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri, M-BET, kama mdhamini mkuu. Mkataba kati ya Simba SC na M-Bet