read
news & Articles
Cambiaso yatepeta mechi yetu ya kirafiki
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Cambiasso katika mchezo wa kirafiki wa kimazoezi uliofanyika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena. Wachezaji
Nyota saba waitwa Taifa Stars
Wachezaji wetu saba wameitwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayojiandaa na mechi mbili za kirafiki za kimataifa zilizopo kwenye kalenda
Pablo ataja mbinu zilizoimaliza Berkane
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema tuliamua kutumia udhaifu wa RS Berkane hasa upande wa kushoto kuanzisha mashambulizi ambayo yaliwafanya kuwa na wakati mgumu muda wote.
Tumezipata pointi tatu za nyumbani
Tumefanikiwa kupata pointi tatu muhimu katika uwanja wa nyumbani baada ya kuifunga RS Berkane kutoka Morocco bao moja katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika
Kibu kwa mara ya kwanza michuano ya Afrika Leo
Mshambuliaji Kibu Denis ameanza kwenye kikosi chetu kitakacho tuwakilisha dhidi ya RS Berkane ikiwa ni mara ya kwanza kucheza michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika
Jambo letu kwa Mkapa leo ni pointi tatu tu…
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni kuikabili RS Berkane kutoka Morocco katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo