read

news & Articles

Tumeshinda dhidi ya Malindi

Bao pekee lililofungwa na kiungo mkabaji Nassor Kapama limetosha kutupa ushindi dhidi ya Malindi katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar. Kapama

Timu yawasili salama Visiwani Zanzibar

Kikosi chetu kimewasili salama Visiwani Zanzibar tayari kwa mechi mbili za kirafiki kufuatia mwaliko kutoka Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) kipindi hiki ligi ikiwa imesima

Timu kwenda Zanzibar kwa mwaliko maalumu

Kikosi chetu kitaondoka jijini Dar es Salaam kesho kutwa Ijumaa kuelekea Zanzibar kufuatia mwaliko tuliopewa na Shirikisho la Soka Visiwani humo (ZFF) ambapo tutacheza mechi

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC