read
news & Articles
Timu yatua salama Mtwara
Kikosi cha wachezaji 23 kimewasili salama mkoani Mtwara tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC utakaopigwa Uwanja wa
Kapombe, Henock, Onyango wachuana Mchezaji Bora Aprili
Nyota wetu watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Aprili (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Nyota
Pablo hajafurahishwa na sare ya Yanga
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema hajafurahishwa na sare ya bila kufungana tuliyopata dhidi ya Yanga kwa kuwa lengo letu lilikuwa tupate pointi zote tatu. Pablo
Tumegawana pointi na Yanga
Mechi yetu ya Ligi Kuu ya NBC ya Derby dhidi ya Yanga iliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa imemalizika kwa sare ya bila kufungana. Makipa wa
Tumegawana pointi na Yanga
Mechi yetu ya Ligi Kuu ya NBC ya Derby dhidi ya Yanga iliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa imemalizika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo ulianza
Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Yanga leo
Mshambuliaji Chris Mugalu ataongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Aprili 30, saa