read
news & Articles

Mgunda: Derby itakuwa ngumu
Kocha Mkuu Juma Mgunda, ameweka wazi kuwa mchezo wa Derby dhidi ya watani Yanga Jumapili hautabiriki utakuwa mgumu. Mgunda amesema mchezo wa watani siku zote

Timu yaendelea na mazoezi Mo Arena
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya watani wetu Yanga utakaopigwa

Queens kuanza na wenyeji Mabingwa Afrika
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeweka hadharani ratiba ya Ligi ya Mabingwa upande wa Wanawake ambayo itaanza Oktoba 30 nchini Morocco. Timu yetu ya

Rais Samia aipongeza Simba kutinga makundi Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa klabu baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya

Rasmi tumetinga hatua ya makundi Mabingwa Afrika
Kikosi chetu kimefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuifunga Premiero De Agosto kutoka Angola bao moja katika mchezo

Tumejipanga kumaliza kazi kwa Mkapa leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Premiero De Agosto katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.