read
news & Articles

Maandalizi ya Geita Kesho yamekamilika
Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold utakaopigwa kesho saa 10 jioni Uwanja wa CCM

Tumepangwa Kundi C Mapinduzi Cup
Ratiba ya michuano ya Kombe la Mapinduzi ambayo hufanyika Visiwani Zanzibar imetoka na tumepangwa Kundi C ambalo litakuwa na timu tatu. Kila mwaka michuano

Kanoute akabidhiwa tuzo yake, awashukuru mashabiki
Kiungo mkabaji Sadio Kanoute amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Novemba (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Kanoute

Queens yaisambaratisha The Tigers
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya The Tigers katika mchezo wa Serengeti Lite Women’s Premier League

13 Wachukua fomu, wanne wautaka uenyekiti
Wagombea 13 wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa klabu utakaofanyika Januari 29, mwakani. Kati ya wagombea hao wanne wanawania nafasi

Tumepangwa Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika
Droo ya upangaji makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika imekamilika jijini Cairo, Misri ambapo timu yetu tumepangwa Kundi C. Katika kundi letu tumepangwa pamoja na