read
news & Articles

Ahmed: Kambi ya Dubai ilikuwa ya mafanikio
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema kambi ya siku ya nane tuliyofanya Mjini Dubai imekuwa na mafanikio kwa kuwa Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’

Viingilio vya mchezo wetu dhidi ya Mbeya City
Viingilio vya mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City tayari vimetangazwa ambapo kiingilio cha chini itakuwa Sh 5,000. Mchezo huo wa

Mohamed Mussa ni Mnyama
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji Mohamed Mussa kutoka Malindi ya Zanzibar. Mussa ambaye mbali na kucheza kama mshambuliaji pia anamudu

Baleke ni Mnyama
Uongozi wa Klabu ya Simba unatangaza kukamilisha usajili mshambuliaji wa kati Jean Othos Baleke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kwa mkataba wa miaka miwili

Tumetoshana nguvu na CSKA Moscow
Mchezo wetu wa pili wa kirafiki dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi uliopigwa katika Mji wa Abu Dhabi umemalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya CSKA Moscow Leo
Nahodha John Bocco, ataendelea kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa mwisho wa kirafiki hapa Mjini Dubai dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi utakaopigwa Abu