read
news & Articles

Try Again akutana na Infatino Morocco
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ amekutana na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino katika Kozi ya Diploma ya

M-bet yabariki ‘Visit Tanzania’ kukaa kifuani CAFCL
Wadhamini Wakuu Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya M-bet imeridhia kuweka neno ‘Visit Tanzania’ kifuani mwa jezi zetu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Ntibazonkiza akabidhiwa tuzo yake ya Januari
Kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Januari (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Baada

Tumetoka sare na Al Hilal kwa Mkapa
Mchezo wetu wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Makabi Lilepo aliwapatia

Kikosi Kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Hilal Leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni kuikabili Al Hilal katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Kikosi Kamili kilivyopangwa: Beno

Makamu wa Rais wa Al Hilal atua Dar
Makamu wa Rais wa klabu ya Al Hilal, Mohamed Ibrahim amewasili jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kushuhudia mchezo wa kirafiki utakaopigiwa Uwanja wa