Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni kuikabili Al Hilal katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
Kikosi Kamili kilivyopangwa:
Beno Kakolanya (30), Jimmyson Mwanuke (21), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Henock Inonga (29), Ismael Sawadogo (3), Kibu Denis (38), Erasto Nyoni (18), Jean Baleke (4), Peter Banda (11), Augustine Okrah (27).
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Mohamed Ouattara (33), Nassor Kapama (35), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Clatous Chama (17), Habibu Kyombo (32), Mohamed Mussa (14).