read
news & Articles

Timu yawasili salama Guinea
Kikosi chetu kimewasili salama nchini Guinea saa 11 jioni ambapo nyumbani Tanzania ni saa mbili usiku tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi

Queens yarejea kileleni mwa SLWPL kwa kishindo
Ushindi mnono wa mabao 4-1 uliopata Simba Queens dhidi ya Baobab Queens umetufanya kukamata usukani wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League

Kikosi cha Queens kitakachoikabili Baobab
Leo saa 10 jioni katika Uwanja wa Uhuru kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka dimbani kuikabili Baobab Queens katika mchezo wa raundi ya nane

Sakho: Tunaenda Guinea kupambana kupata Ushindi
Kiungo mshambuliaji, Pape Sakho ameweka wazi kuwa lengo letu ni kuhakikisha tunashinda ugenini dhidi ya Horoya katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi

Kikosi kitakachosafiri kuifuata Horoya Guinea
Kikosi chetu kesho saa 10 alfajiri kitasafiri kuelekea nchini Guinea tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi

Timu kuondoka alfajiri kuifuata Horoya Guinea
Kikosi chetu kinatarajia kuondoka nchini kesho saa 10 alfajiri kuelekea Guinea tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika