read
news & Articles

VIDEO: Tazama jinsi kikosi kilivyowasili Ruangwa
Kikosi chetu kimewasili salama Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa Majaliwa, Jumatano saa

Timu kuondoka kesho kuifuata Namungo
Kikosi cha wachezaji 22 kitaondoka kesho saa 12 asubuhi kuelekea Lindi tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC utakaopigwa Jumatano,

Timu kurejea mazoezini kesho kujiandaa na Namungo
Baada ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji kuahirishwa wachezaji walipewa mapumziko mafupi na kesho kikosi kitarejea mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata. Mchezo dhidi ya Dodoma

Bodi ya Ligi yaahirisha mchezo dhidi ya Dodoma Jiji
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB imeahirisha mchezo wetu dhidi ya Dodoma Jiji ambao ulipangwa kuchezwa Jumamosi, Februari 15 katika Uwanja wa KMC Complex. Sababu

Tumerejea Kileleni mwa Msimamo wa NBCPL
Ushindi wa mabao 3-0 tuliopata dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umetufanya kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Tanzania Prisons
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids
