read
news & Articles

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya Stellenbosch
Kocha Mkuu, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch utakuwa mgumu

Jayrutty yaingia ushirikiano na Diadora kutengeneza vifaa vya Michezo vya klabu
Kampuni ya Jayrutty imeingia ushirikiano na Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya nchini Italia ya Diadora kwa ajili ya kuzalisha na kusambaza vifaa vya

VIDEO: Ahmed amezungumzia hali ya kikosi siku ya pili Durban
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema kikosi kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika

Timu yawasili salama Durban
Kikosi chetu kimewasili salama katika mji wa Durban tayari kwa mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch utakaopigwa

Simba kuhamasisha ulipaji Kodi kwa hiari
Uongozi wa klabu umeweka wazi kuwa kuanzia sasa umebeba dhamana ya kuhamasisha ulipaji Kodi wa hiari kupitia michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambayo tumeingia

Timu kuondoka kesho kuelekea Afrika Kusini
Kikosi cha wachezaji 23 kitaondoka kesho asubuhi kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch utakaopigwa