read
news & Articles

Ally Salim: Manula alinitumia Ujumbe kabla ya Derby
Mlinda mlango namba tatu, Ally Salim amesema baada ya kupangwa kwenye mchezo wa Derby dhidi ya Yanga alitumiwa ujumbe na Aishi Manula kumtakia kheri. Ally

Mgunda: Mipango yetu ilikuwa bao la mapema tukafanikiwa
Kocha msaidizi, Juma Mgunda amesema katika mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Yanga tulikuwa na lengo la kutafuta bao la mapema na tumefanikiwa katika

Rais Samia atupongeza kwa kuifunga Yanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ametupongeza baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya watani wetu wa jadi

Mnyama ndiye Mfalme wa Derby ya Kariakoo
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga
Kikosi chetu leo saa 11 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili watani wetu wa jadi Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya

Tabiri Kikosi kitakachocheza dhidi ya Yanga Leo
Kikosi chetu leo saa 11 jioni kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri hapa Kikosi cha