read
news & Articles

Tupo tayari kuikabili Pamba Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Pamba Jiji katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia kwenye mchezo

Simba Queens yaichapa JKT Meja Isamuhyo
Simba Queens imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi ya Wanawake Tanzania (TWPL) baada ya kuifunga JKT Tanzania mabao 4-3 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Meja

Kauli ya benchi la ufundi kuelekea mchezo dhidi ya Pamba
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Pamba utakaopigwa kesho katika Uwanja wa KMC Complex utakuwa mgumu

Kauli ya Kocha Basigi kuelekea mchezo dhidi ya JKT Queens
Kocha Mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake dhidi ya JKT Queens ni muhimu kwakuwa utaamua hatima ya ubingwa.

Tumepata ushindi dhidi ya JKT
Kikosi chetu kimefanikiwa kupata ushindi wa bao moja katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania uliopigwa katika Uwanja wa Meja Jenerali

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya JKT Tanzania
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Kocha Fadlu