read
news & Articles

Waziri Mkuu Majaliwa atupongeza Bungeni kwa ajili ya michuano ya AFL
Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa ametupongeza kuwa miongoni mwa klabu nane zitakazoshiriki michuano mipya ya African Football League (AFL) ambayo itaanza Oktoba 20. Mh. Majaliwa

Hongera Taifa Stars
Timu yetu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefanikiwa kufuzu fainali za Afrika (AFCON) baada ya kupata sare ya bila kufungana na Algeria katika mchezo

Kila la Kheri Taifa Stars Leo
Timu yetu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo usiku itakuwa na mchezo muhimu wa kufuzu michuano ya Afrika AFCON dhidi ya Algeria utakaopigwa katika

Tumezindua rasmi Programu ya Back to School
Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula leo amezindua Programu ya Back to School ambayo itapita mashuleni kwa ajili ya kutafuta mashabiki wapya na kuendeleza vipaji

Tumepata ushindi mnono dhidi ya Cosmo
Kikosi chetu kimepata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Cosmopolitan katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa Mo Simba, Bunju. Moses Phiri alitupatia bao

Tumepangwa na Al Ahly AFL
Droo ya michuano ya African Football League (AFL) imekamilika na tumepangwa na miamba ya Afrika Al Ahly kutoka Misri. Mchezo wa kwanza utapigwa katika Uwanja