Hongera Taifa Stars

Timu yetu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefanikiwa kufuzu fainali za Afrika (AFCON) baada ya kupata sare ya bila kufungana na Algeria katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Mei 19.

Stars imefuzu baada ya kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi F nyuma ya Algeria ikiwa na alama nane.

Tanzania inakuwa miongoni mwa nchi 24 zilizofanikiwa kushiriki michuano ya AFCON ambayo itafanyika nchini Ivory Coast, Januari mwakani.

Hii ni mara ya tatu kwa Tanzania kufuzu AFCON baada ya mwaka 1980 na 2019.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER