read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Mtibwa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Highland Morogoro kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar

Kauli ya Robertinho kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa Kesho
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema malengo yetu kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar ni kucheza soka safi

Try Again ashiriki Kozi ya FIFA, akutana na Infantino
Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene ‘Try Again’ amehudhuria kozi ya Diploma katika Uongozi wa Klabu (Diploma in Club Management) inayotolewa na Shirikisho la Soka Duniani

Lakred aanza mazoezi rasmi
Mlinda mlango mpya, Ayoub Lakred (28) raia wa Morocco amejiunga na kikosi na leo ameanza rasmi mazoezi pamoja na wenzake. Lakred tumemsajili wiki iliyopita kutoka

Tunaanza safari yetu ya NBCPL 2023/24
Alhamisi ya Agosti 17 saa 10 jioni katika Uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro kikosi chetu kitatupa karata ya kwanza ya Ligi Kuu ya NBC

Robertinho afurahia taji lake la kwanza
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ameelezea furaha yake ya kuchukua taji la kwanza tangu aanze kukinoa kikosi chetu. Robertinho amesema ameshinda mataji mbalimbali katika timu
