Droo ya Ligi ya Mabingwa kupangwa Leo Afrika Kusini

Droo rasmi ya hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika itapangwa leo katika jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini saa tisa mchana.

Simba ni miongoni mwa timu 16 ambazo zimefanikiwa kuingia hatua hiyo baada ya kuitoa Power Dynamos kutoka Zambia.

Hizi hapa timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua hiyo.

Al Ahly SC (Misri) Al Hilal (Sudan), Asec Mimosas (Ivory Coast), CR Belouizdad (Algeria), ES Sahel (Tunisia), Esperance (Tunisia), FC Nouadhibou (Mauritania), Jwaneng Galaxy (Botswana), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), Medeama SC (Ghana), Petro de Luanda (Angola), Pyramids (Misri), Simba (Tanzania), TP Mazembe (DR Congo), Wydad AC (Morocco), Yanga (Tanzania).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER