read
news & Articles

Tumepoteza mechi ya kwanza ya fainali ugenini
Mchezo wetu wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane uliopigwa Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya RS Berkane
Leo saa nne usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manispaa ya Berkane kuikabili RS Berkane katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya

Tupo Kamili Kuivaa RS Berkane
Leo saa nne usiku kikosi chetu kitashuka katika Manispaa ya Berkane tayari kwa mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya

VIDEO: Mazoezi ya Mwisho Uwanja wa Manispaa ya Berkane
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Manispaa ya Berkane tayari kwa mchezo wa kesho wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi

Alichosema Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Berkane
Kocha Mkuu, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane utakuwa mgumu zaidi ya

Timu yafanya mazoezi Magazan
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Magazan kujiandaa na mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya