read
news & Articles

Tupo Uhuru leo kuikaribisha Namungo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mara zote tunapokutana na

Matola asisitiza mshikamano Simba
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amewaomba Wanasimba kurejesha ushirikiano na kuendelea kuipa sapoti timu baada ya matokeo mabaya tuliyopata kwenye mchezo wetu uliopita. Matola amesema hakuna

Matola aanza Kazi ashiriki mazoezi ya jioni
Kocha, Selemani Matola leo ameanza mazoezi kazi na ameshiriki katika mazoezi ya jioni wakati kikosi kikijiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC

Kocha Cadena afunguka kuhusu mchezo dhidi ya Namungo Kesho
Kaimu Kocha Mkuu, Daniel Cadena amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakaopigwa kesho saa 10 jioni Uwanja wa Uhuru

TAARIFA KWA UMMA.
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (

Wanne waitwa Stars
Nyota wetu wanne wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu fainali za Kombe