read
news & Articles

Ahmed: Tumedhamiria kuwafunga Yanga Jumapili
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema dhamira yetu nikuhakikisha tunapata ushindi katika mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Benjamin

Mo ateua Wajumbe wa Baraza la Bodi ya Ushauri wa klabu
Rais wa heshima wa klabu, Mohamed Dewji ‘Mo’ amefanya uteuzi wa wajumbe 21 wa Baraza la Ushauri wa klabu kwa ajili ya maendeleo. Moja ya

Robertinho: Haikuwa rahisi kuifunga Ihefu
Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefurahia ushindi wa mabao 2-1 tuliopata dhidi ya Ihefu kutokana na mchezo kuwa mgumu. Robertinho amesema ratiba imekuwa ngumu sababu

Tumechukua Pointi tatu za Ihefu
Timu yetu imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Ihefu Leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Mkuu, Roberto Oliviera

Tunarejea Ligi Kuu kwa kuikaribisha Ihefu Leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunashuka katika mchezo wa
