Tabiri kikosi kitakachopagwa dhidi ya Kagera Leo

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Tabiri hapa kikosi ambacho unaamini kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha atakipanga dhidi ya timu hiyo.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER