read
news & Articles

Mchezo wetu dhidi ya JKT Tanzania kupigwa Isamuhyo Alhamisi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utapigwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Michael Isamuhyo Alhamisi saa 10 jioni. Baada ya

Highlights: Geita Gold 0-1 Simba
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao

Tumepata pointi tatu za Geita Kirumba
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold umemalizika kwa kufanikiwa kupata ushindi wa bao moja katika mtanange uliopigwa Uwanja wa CCM

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Geita Gold
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuikabili Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki

Tupo CCM Kirumba kuikabili Geita Gold
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuikabili Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia

VIDEO: Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Geita kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold.
